Juhudi kubwa zinafanyika na serikali na wadau kuhakikisha wananchi wote wanajiunga na bima ya afya, ili waweze kupata huduma bora za afya wakati wote wanaozihitaji. Mfano mzuri ni iCHF, ambako unalipa elfu thelasini (30,000) tu na familia nzima mnatibiwa mwaka mzima bila malipo, ikiwemo na huduma za kulazwa na hata upasuaji wa dharula.JE, UNADHANI KWA NINI WATU HAWATAKI KUJIUNGA KATIKA MIFUKO YA BIMA ZA AFYA?
Nadhani watu wengi bado hawajapata elimu ya kutosha juu ya hili. inabidi mjitahidi sana kuwafikia watu kwa njia zote . nawapongeza kwa website na blog nzuri. mwanzo mzuri sana
ReplyDeleteAsante JahMercy, tutaendelea kuongeza juhudi
ReplyDelete